kinyongarangi
Member
- May 4, 2011
- 67
- 16
Wewe ni mke/mme?
Unawashwa wakati gani?Mchana/Usiku?
Unatumia maji gani?Kisima?
Sabuni ipi?Shampoo je ipi?
Kuna dawa yeyote unameza now and then?
Nijibu/Tazama hayo kwanza............please.
Mimi ni mwanamme
Nawashwa mchana zaidi
Maji ya kisima
natumia emperial soap
natumia dawa za pressure(tenoric) lakini tatizo lilianza kable ya kuanza kuzitumia kama miaka minne iliyopita
Sisuki nywele
aina ya muwasho inakuwa kama utamu fulani hivi