hello jf..
nina ndugu yangu aged 26 hivi amekua na tatizo la kuwashwa miguu kwa muda wa wiki 1 sasa..
ninaishi nae ivyo imekua rahisi kumgundua anavyojikuna mara nyingi hasa inapofika jioni....
ametumia dawa (nimeisahau kw ajina )bila mafanikio
anawashwa na anajikuna mara nyingi sana..kiasi suruali anafanya kuipandisha huku akijikuna...nimeshindwa kumsaidia labda madaktari mnawezakumshauri cha kufanya....
nilimshauri afue nguo zote n amaji ya moto n amashuka na kila kitu kama imediate solution..il abado