Kuwashwa mwili mzima

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Jf doctor sijui tatizo langu ni nini mwili mzima huwasha hasa miguuni, sehemu za siri na kichwani.

Ni muda mrefu sasa karibu miaka 5 na zinatoa harufu kali sana. Nishaonana na docta mara nyingi lkn sioni mafanikio yoyote.

Hospital wanasema ni fungus mara damu imechafuka, yani siwaelew wanakula tuu hela yngu.

jf doctor nisaidien nifanyeje ilinilipatie solution tatizo langu maana ni mda mrefu sasa nateseka
 
Usafi usafi usafi..


Fanya mazoezi utoke jasho jingi
halafu uoge kwa kituo..
Sio haraka haraka....
Maji yawe safi ya moto ya kutosha na sabuni ujisugue...
Na nywele unyoe ....
 
Thanx boss bt napiga usafi mkubw twice a day bt sio swala la usafi ni ishu nyngne boss na ss nafikiria kwnda kwa dk ndodi naskia ni mtaalam bt naomc kama kna mtaalam yyte mnaemjua nijulishen tafadhal
 
Tumia bio water yanayotengenezwa na biodisc vinginevyo utakesha kwenye hospitali bila mafanikio.
Unique
 
Tumia bio water yanayotengenezwa na biodisc vinginevyo utakesha kwenye hospitali bila mafanikio.
Unique
thanx 4 ur advse bt wea can i find that
 
Pole sana inaweza ikawa ni eczema umewahi kupima hiki kipimo??
 
Kapime kipimo kikubwa (HIV), mara nyingine ni dalili ya kushuka kwa kinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…