wadau
kuna mgonjwa nipo nae job mwezi wa pili sasa, anasema anasumbuliwa kuwashwa na kuchoma choma sehemu nyeti, pima mkojo hakuna kitu, pima VDRL hakuna kitu, ikabidi nimpe dawa za antifungus anasema bado, wana forums naomba ushauri nimsaidiaje huyu mtu.