Kuwashwa njia ya haja kubwa

Kuwashwa njia ya haja kubwa

karim jr

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
33
Reaction score
18
Wakuu ninawasalimu.
Kama kichwa cha mada kinavosema, nini husababisha hali ya kuwashwa njia ya haja kubwa. Nini tiba yake na namna ya kuepuka adha hii. Asante.
 
Ninawashukuruni sanaa. Nimepata msaada mkubwa hapa.
 
Hiyo ni minyoo au maambukizi mengine, fika hospital utapata matibabu, pia kukiwasha usijikune maana unaweza kutumia muda mwingi kujikuna mwisho ukawa ka mchezo afu ukawa ndio mwanzo wa mchezo huo kuwa mchezo mchafu...unaweza tulia mwenyewe umeingiza mkono unajituliza muwasho ktk adabu zako ukajikuuuna mwisho ukautoa mkono ukanusa, kisha unagundua wakati una fanya yote hayo hukuwa pekeyako...fika hospital
 
hiyo n pruritis ani husababishwa na minyoo, nenda hospital kwa uchunguzi zaidi...
 
Most likely ni minyoo hiyo mkuu..nenda hozpitali ueleze tu kwa uwazi utapata tiba..
 
Wakuu ninawasalimu.
Kama kichwa cha mada kinavosema, nini hisababisha hali ya kuwashwa njia ya haja kubwa. Nini tiba yake na namna ya kuepuka adha hii. Asante


Bakteria, fua chupi kila siku kwa maji ya moto nyuzi joto kuanzia 60, oga kila siku kwa kutumia dettol au disinfectant nyingine yoyote ile, tawaza/chamba vizuri baada ya haja kubwa, anzia hapo kama tatizo likizidi kamuone Daktari!
 
Back
Top Bottom