Kapime minyoo mkuu inaweza kuwa ndiyo sababu ya hiyo kharahaWakuu ninawasalimu.
Kama kichwa cha mada kinavosema, nini hisababisha hali ya kuwashwa njia ya haja kubwa. Nini tiba yake na namna ya kuepuka adha hii. Asante
Wakuu ninawasalimu.