Kuwashwa sana bada ya kung'atwa na kunguni

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Ndugu zangu nimepatwa na tatizo. Kwa kifupi najitahidi sana kuwa msafi ila sikua najua kunguni wanafanana vipi mpaka baada ya kuwaona kwa jamaa angu mmoja ambae nilishukia kwake.

Baada ya kumwa na hawa wadudu sasa nmebaki na tatizo la kuwashwa
 
Khan ungesema wapo getto tu nan angekupgababu
so umeona ni bora usingizie kunguni wapo kwa jamaa yako
 
Back
Top Bottom