Ndugu zangu nimepatwa na tatizo. Kwa kifupi najitahidi sana kuwa msafi ila sikua najua kunguni wanafanana vipi mpaka baada ya kuwaona kwa jamaa angu mmoja ambae nilishukia kwake.
Baada ya kumwa na hawa wadudu sasa nmebaki na tatizo la kuwashwa