Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

BURTON JNR

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
60
Reaction score
15
Nina tatizo la kuwashwa sehemu ya haja kubwa japo baadhi ya muda co muda wote . Nimekwisha tumia dawa za hosptl still problem persist for any wth help plz may you advice me wht to lauch.
 
Tatizo laweza kuwa fungus, ila pia ungetuambia ni muda gani hili tatizo huwa linakutokea, mfano asubuhi unapoamka, au baada ya matembezi marefu, au unapotoka kuoga/kujisaidia, ulipewa dawa gani hospital? Walikushauri nini? Walikwambia tatizo laweza kuwa nini?
 
Tumia Fluconazol. Ikidunda hiyo.....Nenda kwa wataalam waliobobea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…