Kuwashwa ukeni wakati na baada ya kufanya tendo la ndoa

Sharahange

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Habari wana Jamiiforums. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mke wangu kwa siku za hivi karibuni wakati na baada ya kusex analalamika ya kuwa anawashwa sana ukeni, tofaut na mwanzo mpaka hataman tena kusex.

Sasa tatizo ni nini? msaada wenu wana jamvi.
 
hiyo inakuaga ni fangasi wa candida. kuna nyuzi zinaelezea humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…