Habari wapendwa.
Nina tatizo la kuwashwa miguu kuanzia magotini kushuka chini, yani najikuna mpaka kunatoke kipele kinachoweka maji kama lengelenge na bado sehemu hiyo hiyo itawasha bila kupoa na najikuna mpaka najiacha na alama,hospital naishia kupewa piriton af hainisaidii,yani ata mbu akining'ata mtindo ndo huo kujikuna mpaka basi..tatizo ni nini? Au nina upungufu wa madini gani mwilini? Msaada tafadhali.