Kuwashwa...

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
8,411
Reaction score
4,777
Kwanini mistari inayotokea mwilini hasa kwenye mapaja na makalio huwa inawasha,na ukikuna inavimba? Njia m'badala za kuondokana na hili ni zipi?
 
Nenda kwa wataalamu wa tiba kuna lotion za kupaka kwa ajili ya hayo matatizo,get well soon
 
Kwanini mistari inayotokea mwilini hasa kwenye mapaja na makalio huwa inawasha,na ukikuna inavimba? Njia m'badala za kuondokana na hili ni zipi?

Paka mafuta.....na angalia maji unayotumia kuoga
 
Ukweli iyo mistari samtimes uwa inawasha sana mi ninayo kwenye matiti. pole bt kama mafuta yanaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…