Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Mapema kesho mabingwa na washindani katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika, watawasili katika uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere majira ya saa nne na nusu asubuhi.
Shime nyote mapema kesho tuelekee uwanja wa ndege tukawalaki kwa kutimiza vyema wajibu wao huko COMORO.
Hii hoja yako wapelekee viongozi,,Aibu kwa SoKa la Bongo!
Timu Kubwa na kongwe Simba na Yanga kukosa viwanja Vyao vya Mpira wa Miguu,Ujanja Ujanja Mwingi Hakika Mnatia aibu Mno,Soka la Bongo Pasua Kichwa!
Btw;Hongereni kwa Ushindi.
Wabongo bwana..Ac Milan na inter Milan wanatumia uwanja was San siro unaomilikiwa na manispaa ya Milan..nashangaa hata vilaza wa clouds radio/Tv wanaongelea sana ..Tembea duniani