mi nikimtamani mwanamke atajua tu! Coz kila nikimuona macho yangu siyabandui kifuani au hapo kwenye mashine yake! Na nikipishana nae lazima nimgeukie nitizame plate number!
hata below 35 huwa tunajua kusoma hizo body language. Kama ni mtu unayeinteract nae mara kwa mara kabla hajatamka lolote unakuwa ushaanza kuhisi anachotaka.

ulichoongea kimenigusa

chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani

halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba

je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
Jambo moja nikwambie The Boss,binadamu tunapenda kupendwa,unapomfukuzia mwanamke hata kama hakupendi rohoni bado anasikia raha kwamba unampenda na kumthamini,kwa hiyo wakati mwingine anaweza kuhisi unaanza ku lose interest atakupigia na si kwamba anakupenda sana ,la hasha ni ile tu attention seeking,ajisikie ana thamani.Mwanamke anayekupenda genuinily utamjua tu.ulichoongea kimenigusa

chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani

halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba

je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
mwanamke ni rahisi sana kujua kama jamaa kamzimia kwa kumuangalia machoni tu, hapo inabaki kazi kwake tu kumalizia kwa kumrahisishia njia huyo mtamaniaji,mwanamke unaemtamani kwenye shughuli zako lazima atakujua tu, kuna favor fulani au kipaumbele ya mambo yake utakuwa unampa, natoa mfano mmoja kama ofisini, mwanaume wa it ampende wa admin, akiwa na tatizo ataacha hata computer ya md akimbilie kumtatulia, na hapo unasoma tu mazingira, na hapo bado hajamwambia msichana neno hata moja ila msichana anakuwa kashanote kitu
the boss, vipi kwema? You sound kama vile yamekukuta na kuna mtu ana-make your heart goes hor horiiiiiiii
jilipue mkuu acha kuweka vitu rohoni, ikibidi jilipue hata hapa jamvini
Chauro,absolutely true.ndio maana yake,anakutengenezea mazingira ya kupata ukweli wa kile alichokihisi lakini mara nyingi ukiona hayo ujue kuna mambo yanayomvuta kwako ............wengi wetu baada ya kuhisi kama ni mtu ambae hajafanana na vigezo vya mhusika hawezi mpa hata nafasi ya kumzoea.
ndio nimesema kama unayo interest unarahisisha ili kama kuna muendelezo uendelee, lakini kumbuka kuna vijana wengine pia wanapenda tu kuwapa attention wasichana, au kwa kupenda company yao au kwa kuwaona wapweke kuwapa company, au pia kwa kujaribisha, haw wa mwisho huwa ni wabaya zaidi, sababu msichana anaweza kuwa yuko serious....haiwezekani kurahisisha mawasiliano wakati msichana hayuko serious ....for what sasana ukirahisisha mawasiliano na huyo mtu?inawezekana kurahisisha mawasiliano
huku hutaki kitu kingine????
na hao mi ndo nawachukia kupita kiasi,why fu....k me around kama hutaki kutoa mzigo?inahuuuu?not necessarily awe anakutafutia urahisi. kuna wanawake they just like flirting, ama they just like company. kuna friends ambao mwanamke ana-flirt nao for a while lakini beyond that anakua anaongea nao issues za maana. dont mistaken friendship ama softness ya mwanamke with kukutaka,u will be embarrassed! kuna watu wana macho tu ya wizi naturally,unaweza dhani ni bode lengueji kumbe wala!
Nilijua tuuu.Sasa pia inabidi uwe makini. Kuna wanawake wengine hata umwonyeshe hizo the so called body languages walaaaaa hashtuki, utatupa jicho hadi ling'oke, utajikwaa hadi uvunje miguu, uta-smile hadi mashavu yaume........so ukiweza mtokee tu kichwa kichwa mwombe date politely then akikubali basi mwaga seramkuu ukiona mtu mzima ana uliza swali simple kama hili ujue kuna kitu..lol

in that case ukirahisisha mawasiliano na huyo mtu means unampa green light?????
nilijua tuuu.sasa pia inabidi uwe makini. Kuna wanawake wengine hata umwonyeshe hizo the so called body languages walaaaaa hashtuki, utatupa jicho hadi ling'oke, utajikwaa hadi uvunje miguu, uta-smile hadi mashavu yaume........so ukiweza mtokee tu kichwa kichwa mwombe date politely then akikubali basi mwaga sera
ahsante kwa kuwa mkweli HusniyoHata below 35 huwa tunajua kusoma hizo body language. Kama ni mtu unayeinteract nae mara kwa mara kabla hajatamka lolote unakuwa ushaanza kuhisi anachotaka.
The boss, mapenzi hayaangalii umri wamtu, kwani hujawahi ona wanawake watu wazima wana mahusiano mazri tu na vijana waliowazidi umri?ha haa
umenichekesha na hiyo ku smile mpaka mashavu yaume...
But hii yangu iko tofauti...naheshimiana mno na huyo mtu
halafu kanizidi sana umri....but najiuliza nikimtazama kimatamanio
anajua?na yeye kurahisisha mawasiliano means??????
Married and older than you ,we boss weee,sasa naanza kuhisi kwa kufungua uzi huu kumbe una maana,ushindwe na ulegee!nimekwambia its complicated hapo

what if she is married and older than me?????