married and older than you ,we boss weee,sasa naanza kuhisi kwa kufungua uzi huu kumbe una maana,ushindwe na ulegee!
<br />The boss, mapenzi hayaangalii umri wamtu, kwani hujawahi ona wanawake watu wazima wana mahusiano mazri tu na vijana waliowazidi umri?<br />
huyo unayemuona mtu mzima huwezi jua na yeye anakuangalia kwa matamanio hayohayo, ila anza taratibu kwa kumuomba out ofa za lunch hv, huko unaweza pata nafasi ya kumuelewa zaidi
the boss, mapenzi hayaangalii umri wamtu, kwani hujawahi ona wanawake watu wazima wana mahusiano mazri tu na vijana waliowazidi umri?
Huyo unayemuona mtu mzima huwezi jua na yeye anakuangalia kwa matamanio hayohayo, ila anza taratibu kwa kumuomba out ofa za lunch hv, huko unaweza pata nafasi ya kumuelewa zaidi
<br />
<br />
tatizo wanaume hawajiamini kuwa na wanawake wakubwa na wanawake vile vile hawajiamini kuwa na wanaume wadogo.
Ni rahisi kusema mapenzi hayaangalii umri ila kiuhalisia ni ngumu sana.
Kwani ushawahi kumtania kitu chochote chamapenzi? reaction yake ilikuwaje,swala hapa sio kujiamini,swala hapa ni je
tafsiri yangu ni sahihi au namtafsiri mtu sivyo?
swala hapa sio kujiamini,swala hapa ni je
tafsiri yangu ni sahihi au namtafsiri mtu sivyo?
Yaani kaanza kuwasiliana na wewe kwenye simu au?na unaposema yaliishia moyoni kivipi, yaani ulimtamani yakaisha ukaendelea na maisha?ndo maana nikauliza
kama amenisoma na kunielewa
je na yeye karahisisha mambo?
Kwa sababu mimi yangu yaliishia moyoni mwangu..
Yeye kaanza mawasiliano...au nimemsoma vibaya?????
inawezekana unamtafsiri vibaya. Binafsi nilishawahi kutafsiriwa vibaya ila nilijifunza kitu.
Kwani ushawahi kumtania kitu chochote chamapenzi? reaction yake ilikuwaje,
maana unaweza jua kama tafsiri yako ni sahihi kwa kujaribu vitu vidogo vidogo
ukimwona yuko serious sana ujue hataki mchezo
As a girl,ila nae mwanaume kwa upande wake ana tafsiri yake HUSNINYO,japo anakuwa kwenye internal conflict at oll
\inawezekana unamtafsiri vibaya. Binafsi nilishawahi kutafsiriwa vibaya ila nilijifunza kitu.
kwa hili mi naona wanaume wengi huwa wanajistukia wakati wanatongoza ndio maana inakuwa rahisi kukugundua..
\
hili nalo neno...tafsiri....
yaani kuna mtu anaweza kukodolea hadi ukadhani umesahau kufunga zipu ama vifungo vya blouse vimekatika? AshaDii sijui yuko wapi anisaidie na mijicho kodoo!
The Boss tena umsome vibaya hasa,never never play around witha married woman,acha kabisa wala usiwazie jambo hilo,ni hatari kubwa sana Mkuu!ndo maana nikauliza
kama amenisoma na kunielewa
je na yeye karahisisha mambo?
Kwa sababu mimi yangu yaliishia moyoni mwangu..
Yeye kaanza mawasiliano...au nimemsoma vibaya?????