Mhe! c rahisi kujua kama hujamwonesha ila kama ushamwonesha kesha jua ila most of the woman hata akijua akwambii ng'oo! labda akiwa mwepesi na yeye isha anza kumwingia rohoni, atakuwa anajaa tu kingi kimya kimya ili akurahisishie, ( ndo kawaida yao) lakini ka mzito fulan hivi, kaka atakutegea mpaka useme usiposema ndo nitolee....ushauri wa binti mmoja down hapo kuwa mtoe out ni wa maana sana huko hata usiposema akikisha mazingira yenyewe yanasema, wewe uta konkuludi tu ze essay..lol
hivi anataka kumtoa out au anaulza kama kazimiwa na yeye kama alivyomzimia?we Dumelang wewe,amtoe out mke wa mtu? Ukisikia ukware huo sasa ndo utakuwa ukware.
Nnimewahi kusikia kuwa mwanamke akifikia umri fulani hasa above 35
huwa anajua moja kwa moja iwapo kuna mwanaume around mwenye kumtamani au mwenye nia ya kumtongoza.......sijui ukweli wa hii kitu ukoje..... nimekuwa najiuliza inawezekana mwanaume ukawa unamtamani mwanamke ambae unakutana nae kwenye shughuli zako bila yeye kujua kabisa? ni kweli kuwa wanawake ndo best kwenye kusoma body language kuliko wanaume? wapo kweli wanaokutwa na mshangao wanapotokewa au ni uwongo????????/
kwani ushawahi kumtania kitu chochote chamapenzi? Reaction yake ilikuwaje,
maana unaweza jua kama tafsiri yako ni sahihi kwa kujaribu vitu vidogo vidogo
ukimwona yuko serious sana ujue hataki mchezo
boss 35 kote huko... Kama ni mjuvi at 20 tayari you know a man who is interested in you... Labda awe anakuangalia kwa mbali na you are not aware of him ndo waweza usijue... But yule ambae unamfahamu kwa karibu na anampango huo kuna body languages flani ambazo yeye (mwanaume hutoa) na akiku-ignore kwa kuku ignore kweli inaonekana na yule ambae ana ku-ignore (kuonesha tu anaku ignore) hali he has interest nae pia honekana....
Na pia la muhimu kuna ile wamsoma kua he is in to you but won't make the move... Na yule he is in to you na anakuvutia subira....
so una maana huyu kashanisoma siku nyiingi?
ulichoongea kimenigusa
chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani
halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba
je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
the boss, ni kweli kabisa anaweza kukutokea mtu ukashangaa kabisa, kwa kuwa hukuiona ikija kabisa, ila kuna watu wengine ni rahisi kuwasoma kwamba yuko so in to you kiasi he cant help himself when around you, na siku zote wa aina hii huwa wanatia huruma,anaweza kukuona akajimwagia hata chai kma kashika kikombe
mfano bana, ndio wanajimwagia tu ovyoovyowanajimwagia chai?aisee. Lol
Ndivo tulivoumbwa the boss, mtuvumilie tu, huwezi onyesha ukimpenda mtu, tena utataka hata usikutane nae macho kwa machobut wanawake wengine huwezi jua kabisaa
yaani unamtongoza,anakusumbua,siku unampata ndo anakwambia
dah ,siku ya kwanza nilivyokuona,we acha tu..unabaki unashangaa..lol
ndivo tulivoumbwa the boss, mtuvumilie tu, huwezi onyesha ukimpenda mtu, tena utataka hata usikutane nae macho kwa macho
ila akishakuwa wako tu ndio unakuwa free kumwambia sasa kwa mbwembwe
hata mtoto mdogo ukimwangalia kwa jicho la ukali au kirafiki anajua sembuse nyie watu wazima? Ndiyo maana sometimes watu hawafikii kutongozana wanajikuta wako whether kitandani au sehemu ya faragha wanakubalianna kufanya kitu fulani siyo discussion ya jinsi gani wafanye.
Ki ukweli mimi najua mtu ana nia gani kwangu, hapo naweza andaa mazingira ya kumblock au kumkaribisha kama roho yangu imemdondokea.