Kuwasoma watu their 'body language'

hiyo ya kukwepesha macho ndo usiseme
unaweza fikiri hajakuona,kumbe kakukagua chini mpaka juu
womens bana lol
Hivi the boss mwanamke akikutolea mimacho, na kukwambia akiyamungu nakuzimia kweli kila akikuona si utaogopa kabisa
tunasubiria mwanaume aanzishe bana,japo kuna wanawake wanaanzishaga lakini waanaume lazima wanakuwa na maswali
 
hivi the boss mwanamke akikutolea mimacho, na kukwambia akiyamungu nakuzimia kweli kila akikuona si utaogopa kabisa
tunasubiria mwanaume aanzishe bana,japo kuna wanawake wanaanzishaga lakini waanaume lazima wanakuwa na maswali

mimi naipenda ile 'inaita invitational eyes'
mwanamke anaweza aiseme wala kukutazama sana,but kuna jicho ukipewa
kama mtu mzima unaelewa....
 
kweli kabisa caroline,mambo mengine yanajiseti yenyewe sio lazima process za mitongozo zianze
 
mimi naipenda ile 'inaita invitational eyes'
mwanamke anaweza aiseme wala kukutazama sana,but kuna jicho ukipewa
kama mtu mzima unaelewa....
invitation to treat sio, watundu wanafanya sana hiyo ila kama mwogamwoga unaangalia kwa chati kama mwizi vile
 
invitation to treat sio, watundu wanafanya sana hiyo ila kama mwogamwoga unaangalia kwa chati kama mwizi vile

ni rahisi kama kuna access na mtu husika
but kama mnaonana kwa juu juu inabidi utundu uchukue nafasi..lol
 
hiyo ya kujikuta kitandani na mtu,imewahi kukutokea?

Ndiyo. Mwanaume anayetongoza huwa namuona **** kwa sababu ana mbinu nyingi za kumfanya mwanamke amauelewe kuliko kuanza kuongea pumba sometimes unaongea vitu ambavyo huwezi kutimiza. Hata kwa wanawake, tunajua style za kutoka nazo, kujipamba ili nikitoka tu, the boss ananidaka bila hata kusema mie najua hapa buzi ***** limeingia kwenye 18 zangu! HAPO VIPI THE BOSS?
 

ha ha haaa
wewe waonekana mtundu saana....
Kumi na nane sio? Lol
 
ni rahisi kama kuna access na mtu husika
but kama mnaonana kwa juu juu inabidi utundu uchukue nafasi..lol
Kwa hiyo kama sio mtundu imekula kwako hiyo, ni kweli kabisa kama ipo access ni kazi rahisi sana
 
ha ha haaa
wewe waonekana mtundu saana....
Kumi na nane sio? Lol

The Boss, kuna watu wanachat hapa hawajuani, siku wanapanga kukutana hawaulizani inakuwaje wote wanaelekea upande ule mawaazo yao yanapowapeleka. Sasa hivi tuombe Mungu mauzauza mengi yametokea. Kizazi cha watoto wetu ni kwa maombi tu Mungu atenge muujiza.
 
kwa hiyo kama sio mtundu imekula kwako hiyo, ni kweli kabisa kama ipo access ni kazi rahisi sana

unajua huwa sometimes unakutana na mtu
baada ya miaka kadhaa,tena keshaolewa na watoto mfano
halafu anakwambia enzi zile shuleni,au mtaani nilikuwa sijiwezi juu yako
imenitokea hiyo,unabaki unazubaa lol
 

itabidi nikutafute nione
mimi na wewe mawazo yetu yatatupeleka wapi..
Labda kanisani lol
 
unajua huwa sometimes unakutana na mtu
baada ya miaka kadhaa,tena keshaolewa na watoto mfano
halafu anakwambia enzi zile shuleni,au mtaani nilikuwa sijiwezi juu yako
imenitokea hiyo,unabaki unazubaa lol
Hapo sasa unakuwa ushachelewa mwana, maana keshachukuliwa, inamaana na ww ulimpenda sana ila hukumwambia, umekuja mwambia ulipkutana nae majuz, wakati keshaolewa na watto juu, haapo labda kuwe na plan B
 
hapo sasa unakuwa ushachelewa mwana, maana keshachukuliwa, inamaana na ww ulimpenda sana ila hukumwambia, umekuja mwambia ulipkutana nae majuz, wakati keshaolewa na watto juu, haapo labda kuwe na plan b

ha haa talking of plan b lol
 
siwezi kukujaji,sometimes tunaopt bad choice, lakini katikati ya bad choices we find ourselves in good choice
unaona huu usemi una ukweli?

dah...umeonaa eeh?
 
nimeona kabisa

ndo maana mimi huwa nafuata moyo wangu tu....
Sifuati society inavyokwenda..
Unaweza jilazmisha kwenda the way watu wanataka
kumbe inakuumiza kuliko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…