The Boss mimi ni wa church tu sasa. Nimepitia pilika zote sasa nimetulia nalea watoto wangu. Ma ex ni wa kuogopwa kama ukoma, nikisema hivi utafikiri natania ila kipindi mko pamoja hamkuona umuhimu kati yenu.
Tujenge kuwa na hofu mioyoni mwetu. Uwe na maswali mengi yanazunguka kichwani mwako unapotaka kutenda dhambi, nashiukuru Mungu sana I have that sence. Siku hizi nawajua wanaokupenda, tamani, danganya, ukweli huwa ni mdogo sana kama chembe ya HALADARI!! women to men the choice is yours, which way should you take!