Na kwa vyovyote vile watakuwa wakifanya kazi kwa tahadhari kubwa na inapobidi "kumzunguka" watamfanya hivyo.
Tatizo kubwa ni ukosefu wa subira pale mteuzi anapopokea umbea wa mteule. Anakurupuka kutumbua, halafu baadaye sana ndiyo anakuja kugundua kuwa aliingizwa chaka.
Lukuvi na Kabudi japo wamebembelezwa sana kukubali uteuzi, wasifikiri wamefika. Umbea bado upo, tena upo mwingi sana. Soon tutaona wanatenguliwa.