Yani mtu akisoma hapa atajuwa unajenga ghorofa 10 au apartment kibao, kumbe nyumba ya vyumba vitatu tu.Habari zenu jukwaa.
kuna kiwanja nilishawahi kukipata na kukipigia fensi, nataka niaze ujenzi mwezi wa sita.
Dhumuni kuu la kuwaleta mafundi wamalawi ni ile sifa yao wanayojulikana kuwa nayo HONESTY / UAMINIFU japo soo wote, lakini pia huko Malawi gharama zao za ufundi zipo chini.
vitu gani vinahitajika ili wasipate usumbufu wa vyombo vya sheria ?
[emoji16][emoji16][emoji16]Yani mtu akisoma hapa atajuwa unajenga ghorofa 10 au apartment kibao, kumbe nyumba ya vyumba vitatu tu.
Una mbwembwe Sana, sasa sheria unatakiwa uende uhamiaji kuwaombea working permit.