Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,180
- 1,964
Simaanishi kilichokuja kichwani mwako. Kuvua nguo kwa hapa namaanisha kutoa msaada wa mavazi ambayo wewe ulikuwa unavaa. Katika Imani za kiroho/kishirikina mavazi inaaminika Yana nafasi yake katika kuomba mabaya au mazuri kwa mtu mvaaji. Ukimpatia mhitaji halafu wenye Nia ovu waingilie kati na kuyatia mikononi mwao hayo mavazi hauko salama.