Kuwaza ngono kunapunguza miaka?

Mchapaji

Member
Joined
Mar 22, 2010
Posts
26
Reaction score
1
Za asubuhi wadau?

Jana nilikuwa naangalia marudio ya kipindi cha Dr. Ndodi kinachorushwa na Star Tv... Katika mada alizozungumzia, moja wapo ilikuwa kula vyakula vilivyokobolewa vinapunguza akili. LAKINI topic iliyonigusa ni ile ya kufikiria ngono kila wakati anadai kunapunguza maisha na pia akili.

Je wenzangu, mnalijua hilo? na kama YES, je ni kweli kuwaza ngono kunafanya mtu kupungukiwa akili na muda wa kuishi...

Aksanteni, ni hayo tu nitakayo kufahamu.
 
jamani eeeh basi mimi tayari nimepungukiwa akili na umri wangu utakua mfupi.
 
Huyu Dr Ndodi alisomea wapi huo udokta? Ana tofauti gani na Yahya Hussein huyu? Ni wale wale tu njaa kali, wanatafuta namna ya kujineemesha.
 
mimi ningekuwa nimekufa na miaka 2
 
................., je ni kweli kuwaza ngono kunafanya mtu kupungukiwa akili na muda wa kuishi.............................................

ni kweli kabisa....... kiasi kinachopungua ni kidogo sana na ndio maana hakionekani moja kwa moja................ lakini ni hatari zaidi kuelemewa na mawazo hayo kati ya miaka 25 na 50......... on the extreme case, unaweza hata kufa ghafla............... na hii ni kwaa jinsia zote.................
 
Aisee... This is serious...!!
 

Mbona ukiwaza umaskini mtu hufi? e.g hospital bills, kazi, njaa etc
whats so special na sex? au file lake ni zito sana kichwani kwa mwanadamu linatumia nguvu nyingi ku download?
 
Mbona ukiwaza umaskini mtu hufi? e.g hospital bills, kazi, njaa etc
whats so special na sex? au file lake ni zito sana kichwani kwa mwanadamu linatumia nguvu nyingi ku download?

Hahahahahaha...
 
Jamani hawa ndio walee!!, tunaoambiwa tuwapishe na mbali.

Kwanza ni dokta toka wapi?, kasomea wapi? ama ni hizi shahada za hapa-pale
 
Du.....! Hili jipya kabisa! Kwa mfano ukiwaza kwa muda wa masaa mawili utapunguza muda gani? Kama kuwaza tu inapunguza muda wa kuishi, je kufanya? Threads zingine bana ni za kuangalia kwa makini sana!

Labda ndio maana mimi huwa nikisafiri mke wangu analia anaumwa mgongo, mara tumbo nk. Nikimwambia aende hospitali hataki, lakini nikifika tu, kesho yake amepona kabisa!
 

Anapona na nini?
 
Kama ni hivyo wengi tungekuwa tumekufa.
 
kwi kwi kwi kwi!

Du basi wengine sie ni marehemu watembeao!šŸ˜€ hapa inatakiwa tujue rates!
 
A New study suggests fantasizing about sex may boost analytical thinking skills and daydreaming about love may boost creativity:

Previous research suggests that our problem-solving abilities change depending on our states of mind and that loveĀ—a broad, long-term emotionĀ—triggers global brain pro*cessing, a state in which we see the big picture, make broad asso*ciations and connect disparate ideas. Sex, on the other handĀ—more specific and here and nowĀ—initiates more local processing, in which the brain zooms in and focuses on details. Researchers at the University of Amsterdam, Univer*sity of Groningen and Jacobs University Bremen wondered whether thinking about love might actually help people perform better on creative tasks, whereas imagining sex might prime people to do better on tasks requiring analytical thinking.

The researchers asked 30 subjects to imagine a long, loving walk with their partners and asked 30 others to think of casual sex with someone they did not love. Then they gave the subjects cognitive tests. As predicted, the love-primed ones per*formed much better on creative tasks and scored worse on analytical ques*tions, whereas the reverse was true of those who thought about sex. The researchers also subliminally primed a separate group of subjects to think about love or sex and got similar results.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…