Habari wana jamvi je ni kosa kisheria kupeperusha(kuweka) bendera ya taifa katika eneo lako la makazi (kuweka kama wanavyoweka katika mahoteli, ofisi za kiserikali n.k)?
Inaruhusiwa tu kwa ofisi za kiserikali na balozi kama unataka bendera lazima upate kibari maalumu kwani bendera ya taifa ni nembo muhimu ya taifa hivyo lazima iheshimike.