Kuweka daraja la ufaulu kwenye alama za mtihani kwa kompyuta.

Kuweka daraja la ufaulu kwenye alama za mtihani kwa kompyuta.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Heshima!
Nnaomba msaada namna ya kuweka daraja kwenye maksi za mtihani kwa kutumia COMPYUTA nnatumia excel 2003 & 2007,
alama zangu ni A=81-100,
B= 61-80, C=41-60, D= 21-40,
F=0-20.
Mola awabariki nyote.
 
Heshima!
Nnaomba msaada namna ya kuweka daraja kwenye maksi za mtihani kwa kutumia COMPYUTA nnatumia excel 2003 & 2007,
alama zangu ni A=81-100,
B= 61-80, C=41-60, D= 21-40,
F=0-20.
Mola awabariki nyote.

ni rahc mno
(if (100>81 "I",(80>61 "II",(60>41 "III",(40>21 "IV" (20 "FLD")))))..then press enter....haya kesho usisahau visoda tutajifunza kujulisha na kutoa xawa
 
ni rahc mno
(if (100>81 "I",(80>61 "II",(60>41 "III",(40>21 "IV" (20 "FLD")))))..then press enter....haya kesho usisahau visoda tutajifunza kujulisha na kutoa xawa

ahsante Baba Genovivah,nadhan G anafuraha kuwa na baba mzuri mwenye swaga tamu kwa mtoto,
nimejaribu kuifanyia kazi inagoma,
mm nimengia pale mbele kwenye alama ya kwanza ktk list, nikaweka = then nikaenda kwenye Fomular nikachagua IF nikaandika hiyo formular kwenye hicho kiboksi,
then nkapiga OK,
ikawa imegoma,ingaw nlianza kuandika pale kwenye formula then nkagonga enter ila ikawa imegoma,
sijui nifanyeje Baba G.
Ubarikiwe kwa moyo safi.
 
Back
Top Bottom