Heshima!
Nnaomba msaada namna ya kuweka daraja kwenye maksi za mtihani kwa kutumia COMPYUTA nnatumia excel 2003 & 2007,
alama zangu ni A=81-100,
B= 61-80, C=41-60, D= 21-40,
F=0-20.
Mola awabariki nyote.
Heshima!
Nnaomba msaada namna ya kuweka daraja kwenye maksi za mtihani kwa kutumia COMPYUTA nnatumia excel 2003 & 2007,
alama zangu ni A=81-100,
B= 61-80, C=41-60, D= 21-40,
F=0-20.
Mola awabariki nyote.
ahsante Baba Genovivah,nadhan G anafuraha kuwa na baba mzuri mwenye swaga tamu kwa mtoto,
nimejaribu kuifanyia kazi inagoma,
mm nimengia pale mbele kwenye alama ya kwanza ktk list, nikaweka = then nikaenda kwenye Fomular nikachagua IF nikaandika hiyo formular kwenye hicho kiboksi,
then nkapiga OK,
ikawa imegoma,ingaw nlianza kuandika pale kwenye formula then nkagonga enter ila ikawa imegoma,
sijui nifanyeje Baba G.
Ubarikiwe kwa moyo safi.