Kuweka Dreads kwa mwanaume unachukuliaje?

Kuweka Dreads kwa mwanaume unachukuliaje?

Evvy jr

Senior Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
148
Reaction score
189
Mambo vipi wadau,

Huwa napenda sana muonekano wa mtu alie na dreads, imefikia hatua nashawishika na mimi kuweka dreads kichwani.

Ila napenda kufahamu mtazamo wa watu kuhusu dreads kwa wanaume, je unahisi wanapendeza au wanaboa?

Na jamii inawachukuliaje wanaume wenye dreads?
 
Sio kila ukionacho lazima ukitamani au kikupendeze mkuuu, na pia kama sio kila ukifanyacho lazima kimfurahiahe kila mtu, hivyo wewe fanya upendavyo , ila kuiga iga mambo angalia usije siku ugaiga kuvaa khanga
 
Nimekuelewa mkuu lkn sijaongelea khanga nimeongelea dreads. Asante kwa mchango wako
 
Mambo vp wadau,
Huwa napenda sana muonekano wa mtu alie na dreads, imefikia hatua nashawishika na mm kuweka dreads kichwani. Ila napenda kufaham mtazamo wa watu kuhusu dreads kwa wanaume, je unahisi wanapendeza au wanaboa? Na jamii inawachukuliaje wanaume wenye dreads?
Mimi sipend kabisa bora ninyoe zungu
 
Back
Top Bottom