Nimekuelewa mkuu lkn sijaongelea khanga nimeongelea dreads. Asante kwa mchango wakoSio kila ukionacho lazima ukitamani au kikupendeze mkuuu, na pia kama sio kila ukifanyacho lazima kimfurahiahe kila mtu, hivyo wewe fanya upendavyo , ila kuiga iga mambo angalia usije siku ugaiga kuvaa khanga
Mimi sipend kabisa bora ninyoe zunguMambo vp wadau,
Huwa napenda sana muonekano wa mtu alie na dreads, imefikia hatua nashawishika na mm kuweka dreads kichwani. Ila napenda kufaham mtazamo wa watu kuhusu dreads kwa wanaume, je unahisi wanapendeza au wanaboa? Na jamii inawachukuliaje wanaume wenye dreads?