Kuweka engine ya fekon 125 kwenye pikipiki boxer

Kuweka engine ya fekon 125 kwenye pikipiki boxer

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu naombeni ushauri wa mawazo.

Je kufunga engine ya kichina kwenye boxer 150 je itafanya kazi vizuri?
 
Wewe weka tu ila itakulaximu modification ,kila lakherikwa uwsmuxi wako

sent from HUAWEI
 
Lazma modii ifanyike kuna sehem niliona boxer ina engine ya sanlg..hakuna kinachoshndkana dunian
 
Natafuta fundi anayepachika engine ya pikipiki fekon kwenye guta wapi wanafanya utaalamu huu na shida zake nini au tatizo lake?
 
Back
Top Bottom