Kuweka private whatsup dp ni ubinasfi wa kishamba

Kuweka private whatsup dp ni ubinasfi wa kishamba

pole sana mkuu, ila ukiona hivyo ujue umeshamwagwa aina haja ya kulalamika sana Kijana, Jaribu kusoma alama za nyakati mkuu.
 
Umenena vyema mkuu,Ila sasa haya maneno ulipaswa kumuambia aliyefanya hivyo nadhan ujumbe ungemfikia haraka sana maana kusema huku anaweza asisome
 
tabia ya kuweka private whatsup watu wasione picha yako ni ubinafsi wa kishamba na roho mbaya kama jiwe pumbavu.
Kwani shida iko wapi ndugu? Wewe si ilimradi utume sms na kujibiwa, mambo ya kuangalia dp za watu ni uzamani huo.
 
Daaah pole sem mhusika uyo mwenyew uliemlenga tatz hayupo humu kwa iyo ujumbe hujamfkia mhusika
 
Back
Top Bottom