Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Nani huyo?tabia ya kuweka private whatsup watu wasione picha yako ni ubinafsi wa kishamba na roho mbaya kama jiwe pumbavu.
Umecheka nini mkuu?Nimecheka sana.....
Jamaa kapigwa ban asione dp ya mrembo anakuja kulia lia humu, badala amchane mhusikaUmecheka nini mkuu?
Kwani shida iko wapi ndugu? Wewe si ilimradi utume sms na kujibiwa, mambo ya kuangalia dp za watu ni uzamani huo.tabia ya kuweka private whatsup watu wasione picha yako ni ubinafsi wa kishamba na roho mbaya kama jiwe pumbavu.
Dah....Kuna mtu kasha fanya yake.... Dahtabia ya kuweka private whatsup watu wasione picha yako ni ubinafsi wa kishamba na roho mbaya kama jiwe pumbavu.