Hello wapendwa natumaini hamjambo Kwa uwezo wake muumba, Nina wageni wangu wanaanza safari ya siku sita Tanzania National parks ,Na wako wawili tuu ,sasa nilikuwa natafuta wengine wa ku join yaani to share the cost .wanaanza tarehe 10 February ,Tarangire Manyara ngorongoro na serengeti ,nilikuwa naomba kama Kuna mtu ambaye anajua mahali naweza kuweka Tangazo langu Kwa upande wa Kenya anijulishe please .Kwa Arusha
Kuna hii website tunaweka matangazo na unalipia 10000
Inaitwa
arushamailing.com
Asante sana