Naomba urudie kusomaSikia mkuu, Uhuru ni two way traffic.
Wewe kwenye kibanda chako cha M-pesa, unao uhuru wa kufanya shughuli zako bila kubughudhiwa. Huyo mwenye gari lenye tints pia, anao uhuru wa kua na faragha ndani ya gari lake bila kubughudhiwa.
Kusema serikali iwaangalie wanaoweka tints kwenye vioo vya magari, eti kwakua wewe mwenye kibanda cha M-pesa hauna amani wakipaki jirani yako, ni ubinafsi. Ubinafsi wa namna hii, ni tabia mbaya!
Kiwe cha mbele ama cha nyuma wewe inakuhusu nini? Hapo anapo park gari ni kwako? Mbona unaishi maisha yako kwa kujihisi sanaNaomba urudie kusoma
Nimeongelea kioo cha MBELE!
Suluhisho na wewe unaweka tinted kwenye ka MPESA kako au kaduka kako ili mwenye gari asijue unachofanya ndani ya kaduka😛Watu wengi hasa maeneo ya mjini wamekuwa na mazoea ya kuweka tinted kwenye vioo vya nyuma na hii ni kwa ajili ya usalama ili vibaka wasichungukie kuona umeacha nini kwenye gari wakati umepaki
Ila kumekuwa na watu wanaweka gari vioo vyote vyeusi hata kile kioo cha mbele. Hebu fikiria una ka MPESA kako au Kaduka kapo pembezoni halafu linakuja gari full tinted (vioo vyote vyesi hadi cha mbele) linapaki hapo nje kwa nusu saa, na hujui anachofanya huko ndani ya gari?
Nashauri Polisi waliangalie upya hili suala la kuweka kioo cha mbele tinted labda kuwe na sababu maalum
Big up mkuu. Hawa Jamaa nilikuwa najaribu kuwakumbuka jina laoView attachment 2005418
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Tukusaidie tu wewe mwenye roho mbaya, hawa jamaa ni wakali sana wa kuweka tinted za mbele kioo cha mbele tuu ni 180,000 tinted ina kua safi inatulia kwenye gari, na dereva anaona vizuri sana kama gari haina tinted, kiusalama wa gari kuto kua na joto ndani, dashbord na kioo kupasuka, na washamba washamba kama nyie kufatiliana nani yupo kwenye gari inakua hakuna.
Msiwapangie watu nini cha kufanya na magari ni yao, na hao hao wakiibiwa kwenye magari yao mnakua na cha kuwasaidia? Solution na wewe weka TINTED kwenye mpesa yako tusijuane.
Fungua link hiyo mwenye Mitsubish Evo uone tinted inavoonekana kwa ndani, halafu pitia hiyo page sio tinted za wachovu wachovu wa Lumbumba
Wote wanaoeka tinted hawajiamini au kuna biashara haramu wanafanya kuficha maovu yao.. sasa hao wanaoeka adi mbele ndo balaaWatu wengi hasa maeneo ya mjini wamekuwa na mazoea ya kuweka tinted kwenye vioo vya nyuma na hii ni kwa ajili ya usalama ili vibaka wasichungukie kuona umeacha nini kwenye gari wakati umepaki
Ila kumekuwa na watu wanaweka gari vioo vyote vyeusi hata kile kioo cha mbele. Hebu fikiria una ka MPESA kako au Kaduka kapo pembezoni halafu linakuja gari full tinted (vioo vyote vyesi hadi cha mbele) linapaki hapo nje kwa nusu saa, na hujui anachofanya huko ndani ya gari?
Nashauri Polisi waliangalie upya hili suala la kuweka kioo cha mbele tinted labda kuwe na sababu maalum
siku hizi kuna tinted unaweka kioo cha mbele wewe uliye ndani ya gari unaona vizuri kama hakuna tinted vile ila yule aliye nje haoni kitu ni kama vioo vya nyumba vinavyoitwa one way wa ndani unamuona wa nje ila yeye wa nje hakuoniGari hairuhusiwi kuwekwa tinted kioo Cha mbele isipokua inaruhusiwa kuwekwa tinted kwa juu ya kioo Cha mbele kwaajili ya kuzuia jua na hairuhusiwi kuweka full ili kuzuia uhalifu kwahiyo n makosa na ukikamatwa ni faini
Kaduka kenyewe mtaji 2000/=!Suluhisho na wewe unaweka tinted kwenye ka MPESA kako au kaduka kako ili mwenye gari asijue unachofanya ndani ya kaduka😛
Wote wanaoeka tinted hawajiamini au kuna biashara haramu wanafanya kuficha maovu yao.. sasa hao wanaoeka adi mbele ndo balaa