si ndio hapo sasa!kina The Boss na Dark City plus pacha wangu Snowball,wanafunzi wangu Asprin na Kaizer wana kazi sana kuwaeleza hawa vijana mwanaume wa kweli anatakiwa kuonekanaje hata hayo maeneo,mi sipati picha binti anavua boxer ya mpenzi wake anakutana na relaxer?