kuwekana sawa

kuwekana sawa

maumbo

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
21
Reaction score
2
habari za leo wana jf wenzangu kuna kitu kinanitatiza kidogo ebu naombeni kuniweka sawa kuhusiana na ili hivi kujua kama msichana anakupenda kweli unaweza kuangalia vigezo gani, na je? msichana kumuonea sana aibu boyfriend wake ni dalili ya kuwa anampenda sana au maana mwenzeni girl wangu uwa tukikutana ana kwa ana anaogopa hata kuniangalia usoni lakini tukiongea kupitia simu anakuwa huru zaidi tusaidiane kwa hili wana jf.asubuhi njema
 
Mwanamke kukuonea aibu si dalili kama anakupenda, inawezekana hajazowea kuongea na wanaume au ni tabia yake tu ya aibu.

Kama anapenda sana kuongea na wewe kwenye simu labda anataka kukutia damage, ili bili yako iwe kubwa :biggrin1:
 
Wewe na huyo gf wako mna umri gani?
 
habari za leo wana jf wenzangu kuna kitu kinanitatiza kidogo ebu naombeni kuniweka sawa kuhusiana na ili hivi kujua kama msichana anakupenda kweli unaweza kuangalia vigezo gani, na je? msichana kumuonea sana aibu boyfriend wake ni dalili ya kuwa anampenda sana au maana mwenzeni girl wangu uwa tukikutana ana kwa ana anaogopa hata kuniangalia usoni lakini tukiongea kupitia simu anakuwa huru zaidi tusaidiane kwa hili wana jf.asubuhi njema

Bwn mdogo, aibu huwa ni aibu, na kumpenda mtu ni kumpenda mtu, hakuna uhusiano hapo! Kujua kama gf wako anakupenda kuna vigezo vingi na wala si zoezi la kuoneana aibu maana ungekuwa ni kuoneana aibu basi hata kwenye simu angeshindwa kuwa huru sana.

Vigezo kama kukujali, kuwa mkweli kwako, kuwa mwaminifu kwenye mahusiano yenu, kuwa karibu na wewe, kukutia moyo unapokuwa kwenye huzuni, kukusaidia inapobidi, kukuthamini, kukutii nk ni sehemu ndogo tu ya mambo ambayo yanaweza angalabu kukupa picha kuwa uliyenaye anakupenda.
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya aibu na kupenda, ukitaka kujua kama anakupenda tazama matendo yake kwako na sio aibu wala maneno!
 
ukiwa nae huwa unaongelea nn zaid??smtymz na ww unaeza kuwa chanzo mfanye akutazame mbona mbinu zipo kk mfanye awe huru unapokuwa nae¿
 
kukuonea aibu sio kuwa anakupenda but huenda ndio defensive mechanism yake ya kumkill kima(NYANI)so ni wewe kumjengea mazingira ya kukupenda,somo rahisi haata halihitaji tution
 
Embu tupia namba zake hapa ili tuone kama kweli ukiongea nae kwenye simu anakua huru zaidi.
 
Back
Top Bottom