umezaliwa mwaka gani?
habari za leo wana jf wenzangu kuna kitu kinanitatiza kidogo ebu naombeni kuniweka sawa kuhusiana na ili hivi kujua kama msichana anakupenda kweli unaweza kuangalia vigezo gani, na je? msichana kumuonea sana aibu boyfriend wake ni dalili ya kuwa anampenda sana au maana mwenzeni girl wangu uwa tukikutana ana kwa ana anaogopa hata kuniangalia usoni lakini tukiongea kupitia simu anakuwa huru zaidi tusaidiane kwa hili wana jf.asubuhi njema
mkuu ulivyomuliza kama baba yake vile kweli unapenda maendeleo ya vijana.umezaliwa mwaka gani?
mkuu ulivyomuliza kama baba yake vile kweli unapenda maendeleo ya vijana.
kwa namna alivyouliza swali, fikra zake zinaonesha kabisa akili yake bado haijakomaa
unajua binadamu tunatofautiana pengine muliza swali ni mkubwa sana.