shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,333
Sema mliosoma kiswahili unadhani sisi wat wa IT TUKO SAWAHamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.
Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.
Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.
Nadhani Mmeelewa
Blaza usidharau pesa. Hiyo laki nne ni mshahara wa mtu mwenye mke na watoto na familia inasonga na chooni wanaenda bila tatizo.amesiliba liTecno lake la vilaki vinne
shemeji zangu hao sio kosa lakeshirima ushapata nauli ya kwenda moshi mna ma
Mkuu unabadilisha kwa kuitupa au unamuuzia mtuHamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe huo uchafu haraka.
Waliotengeneza hizo simu hawakutengeneza makava na hivyo uache ushamba maandazi.
Kwa msiojua simu matumizi yake ni mwaka mmoja na baada ya hapo unatakiwa ubadilishe.
Nadhani Mmeelewa
Anajua sanaaa, ila anajizima data tyuuh.Blaza usidharau pesa. Hiyo laki nne ni mshahara wa mtu mwenye mke na watoto na familia inasonga na chooni wanaenda bila tatizo.
Nimeshuhudia vijana wengi waliokua wana kibri cha pesa kama wewe hivyo kwa sasa hawapo ktk ramani kabisa buku wanaisaka kwa tochi.
Sikutishi ila nakukumbusha tu "be humble"...