Kuwekeza fedha kwa riba

KWELI WAZO LAO NIZURI ILA MIMI KWAUZOEFU WAIYO BIASHARA KWARIBA ALIYO KUAMBIA INAWEZEKANA TENA BIRA SHIDA YEYOTE NINA UWAKIKA 98% ANAKOPESHA KWA 20% KWAIYO KWENYE ISHU YAKUKUTEJESHEA INAWEZEKANA KWAMTAJI ALIONAO ASHAKUWA MZOEFU KWENYE IYO BIASHARA KAMA TU ANA VIBARI LAKINI PIA KWENYE MAAMUZI YA PESA AYAAMULIWI KWA HISIA MIMI KWAUSHAURI WANGU MPE KWAMAANDISHI SAII AZIFU WW AUTAUSIKA NABIASHARA YAKE RAKINI UTAJUMUIKA NA UWAKIKA WAPESA AKO KUFUNGUA ACCOUNT YAPAMOJA SO SOLITION KWASABABU PIA PESA ANAWEZA ASIPELEKE BENK ILA MSUPORT MWEZIE KWA KUANDIKISHANA NAMASHAIDI PIA UKISEMA KILAKITU UFANYE NAMKEWAKO UFIKI ILA UFANIKIWE KIBIASHARA LAZIM UWE RISK TAKE
 
Unamfahamu aliyenipa Hilo wazo mkuu??
Ulivyoandika nikama unamjua.
 
Akishindwa kukulipa huwezi ukamshtaki popote maana hana leseni ya kuendesha shughuli za kifedha-kukopesha kwa riba. Sheria inaweza ikakutia hatiani wewe.....urafiki wenu uwe kwa mambo mengine si kwa kukopeshana kwa riba.
Umejibu vema mkuu
 
I
Unamfahamu aliyenipa Hilo wazo mkuu??
Ulivyoandika nikama unamjua.
mkuu mimi simjui but naangaria sana ualisia wabiashara tukisema kwasababu mimi ckufanyiw uaminifu naww usiwaamin watu uwezi fanikiwa iyobiashar naijua so kama anatak ela kwaajir ya biashara wzka mazingira mazuri yakuandikishana wewa piga esabu labda unampa milion saba nakwamwakamzim itabid akupe milion kumi mfano unavyo mpa andika ameazima milioni kumi atakupa 35000 baada ya miez kazaa atakumalizia milion saba uo nimfano pia mwandikishan kwamba iko kibiashar so kilafiki kwasababu ukiw mwana hisa pan faida na asara ushauli wangu mpe kama unania yakufany biashar cz kunasiku nawe utaita awa wa jf awatakupa utakacho itaj biashara nimausiano ndugu yang mimi cwafaham ata kidg lakin niko naiyo biashara naifaam
 
Ila unavoandika mkuu dah
 
Mambo ya kujifanya risk taker huku akili unaziacha nyumbani kwako sawa, hata wawekezaji wa kalyinda walikua risk taker pia.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…