Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Mfano wewe unaishi Dar es Salaam, na umewekeza shamba labda Morogoro au Iringa au Singida au Shinyanga, hii iko sawa au mpaka uwe na shamba lililo karibu na wewe??
Kuna baadhi ya marafiki zangu wanasema kuwekeza mbali kunatesa zaidi kuliko kuwekeza karibu na unapoishi.
Hii imekaaje wakuu?
Kuna baadhi ya marafiki zangu wanasema kuwekeza mbali kunatesa zaidi kuliko kuwekeza karibu na unapoishi.
Hii imekaaje wakuu?