Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Kweli mkuu gharama za uendeshaji zinakuwa nyingi sana! Mimi nina shamba lindi ni shida sana safari ya lindi to dsm inanikost sana!
sikuhizi technologia imeeongezeka sana.unaweza wekeza shamba maeneo ya mbali na bado likaendeshwa mashine bila uahitaji wa mtu