Kuwekeza UTT

Kuwekeza UTT

Ariella A.K

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
198
Reaction score
61
Habari wanandugu.
Naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya faida, hasara, jinsi, umuhimu na mengineyo kuhusu uwekezaji kwenye mfuko tajwa wa Umoja Trust Fund anisaidie kuelewa kabla sijafanya maamuzi.

Nimepitia website yao japo kuna niliyoelewa nahitaji maelezo zaidi na personal experience pia.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom