Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaUkira ban usnilaumu, kuwa sjakuadharisha, wana zile machine za kuchunguza midomo na mikono inachondandika umu ndani.
Hahahaaa kwani kuna mtu anaweza kuendesha au kuzunguka humu bila leseni na asikamatwe? Halafu wenye uzoefu wa kukamatwa watuambie huwa wanapokea zile buku 5 au ukitoa ndo ban inaongezeka?
Kasie
Dah... ukira?[emoji15]Ukira ban usnilaumu, kuwa sjakuadharisha, wana zile machine za kuchunguza midomo na mikono inachondandika umu ndani.