Kuweni makini jamani, wamejaa barabarani

Ukira ban usnilaumu, kuwa sjakuadharisha, wana zile machine za kuchunguza midomo na mikono inachondandika umu ndani.
 
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] kweli tuwe makini
 
rafiki yangu invisible na maxence melo wapo offline au sio
 
Hahahaaa kwani kuna mtu anaweza kuendesha au kuzunguka humu bila leseni na asikamatwe? Halafu wenye uzoefu wa kukamatwa watuambie huwa wanapokea zile buku 5 au ukitoa ndo ban inaongezeka?
Kasie
 
Hahahaaa kwani kuna mtu anaweza kuendesha au kuzunguka humu bila leseni na asikamatwe? Halafu wenye uzoefu wa kukamatwa watuambie huwa wanapokea zile buku 5 au ukitoa ndo ban inaongezeka?
Kasie

Kumbe huwa wanapokea Rushwa Mkuu? Hebu tupe basi huo mchanganuo wa malipo hayo ya Rushwa kwao ili na sisi wengine tuanze sasa kujipanga.
 
Staff Online Now
wamepungua njoon mpiteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…