Kuweni Makini mnapokuwa....

senator

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
1,924
Reaction score
66
Mgonjwa mmoja mahututi alikuwa hawezi kuongea na kuwekewa oxgen. Akawa anaombewa na Mchungaji. Akiwa anaombewa, yule mgonjwa akachukua kalamu na karatasi, akaandika na akampa yule Mchungaji. ambaye badala ya kuisoma ile karatasi, akaitia kwenye mfuko wa joho na kuendelea na maombi hadi yule mgonjwa, AKAKATA ROHO.

Mchungaji hakuisoma ile karatasi akijua kua ni wosia wa marehemu. Akasubiri baada ya mazishi kwenye kikao cha ndugu akasema; "KUNAKITU NILIPEWA NA MAREHEMU CKU NILIYOKUA NAMUOMBEA"

Akampa mmoja wa wanandugu akisome. Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa na yule mgonjwa:
"UMEKANYAGA WAYA WA OXYGEN, NAKOSA HEWA".
 
kwa hiyo unamaanisha aliyekuwa akimwombea mgonjwa ndie aliyefanya mauji? Baada ya wanandugu kusoma karatasi walifanya nini?
 

Yeah, it makes sense, ingawa nadhani mgonjwa hakutakiwa kufa kwasababu yule mchungaji alikanyaga waya na sio pipe inayopitisha oxygen!!!!!!!
 
Inamaanisha hivyo pipe ndo wire hiyo kwa mujibu wa mgonjwa mana hakuna wire wakupitisha hewa..
 
kwa hiyo unamaanisha aliyekuwa akimwombea mgonjwa ndie aliyefanya mauji? Baada ya wanandugu kusoma karatasi walifanya nini?

Its Obvious Mchungaji ndie aliyesababisha Kifo hicho..Hatua walizochukua ndugu sijui kilichoendelea hapo kikaoni
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!yaani .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…