Drat JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,160 Reaction score 1,359 Jan 22, 2020 #21 Msaada wakuu nataka kujua wallet ambayo mtanzania anaweza kujiunga kirahisi
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Jan 22, 2020 #22 Mapensho star said: naomba msaada naona unajua mengi kuhusu bitcoin nilikuwa nataka nijue hii biashara nikiwekeza pesa yangu kwenye mfumo wa bitcoin inapanda kwa kipindi cha miezi mingapi na faida inakuw asilimia ngapi kwa kiasi ulichowekeza Click to expand... Sarafu moja Bitcoin ni tsh25,000,000+ unazo? Sent using Jamii Forums mobile app
Mapensho star said: naomba msaada naona unajua mengi kuhusu bitcoin nilikuwa nataka nijue hii biashara nikiwekeza pesa yangu kwenye mfumo wa bitcoin inapanda kwa kipindi cha miezi mingapi na faida inakuw asilimia ngapi kwa kiasi ulichowekeza Click to expand... Sarafu moja Bitcoin ni tsh25,000,000+ unazo? Sent using Jamii Forums mobile app
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Jan 22, 2020 #23 www.localbitcoin.com Drat said: Msaada wakuu nataka kujua wallet ambayo mtanzania anaweza kujiunga kirahisi Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
www.localbitcoin.com Drat said: Msaada wakuu nataka kujua wallet ambayo mtanzania anaweza kujiunga kirahisi Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app