Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tatizo Syo facebook,Tatizo uwezo wa Mke au mumeo kufikri.
Acha kugeneralise watu na tabia zao!Mi nawajua watu facebook wanaoongea mambo ya maana!Na hata hayo ya kusema naumwa..nimechoka kama yana umuhimu kwao kwanini wewe useme ni ujinga!Na mtu kusema naumwa..nnahasira vinahusiana vipi na mtu kua na tabia chafu!Huyo dada hata isingekua fb bado angeweza kufanya madudu yake kwasababu ndivyo alivyo!Acheni kusingizia fb kwa tabia binafsi kama mnavyomsingiziaga shetani!Hata angekua hapa JF angeweza kupata hapahapa na akafanya hayo hayo!
Michelle rudia kusoma vizuri nilichoandika,maana unanishambulia kama nimesema wanawaje tu.!!!! nimesema wenye waume na wake walioko fb nkuweni makini hili limemtokea rafiki yangu na he is down kwa kweli sijalenga jinsia ya mtu hapa ww unaongea as if mm nimesema hilo kwa jinsia ya kike sio sawa ndugu!!!
samahani bandugu! Naomba kuuliza!! Facebook ni kitu gani???
Wakuu kuna kisa cha ukweli mke wa rafiki yangu kalala na mwanaume amekutana nae facebook tena kwa aibu kubwa mana wameanza kuchat ndani ya mwezi mmoja tayari wakasex na kibaya zaidi huyu demu mke wa rafiki yangu alikua na mimba ya miezi 5!!!...kiukweli huyu dada kafanya tukio la aibu sana mana hata mume wake anashindwa kumwelewa mtu mzima kuwa na tabia chafu kiasi hiki...
Ukiangalia watu walioko Facebook hakuna kitu cha maana wanachoweza kujadili kwa maana ya Issues!!! pale watu wanaandika pumba tu mara nimechoka,naumwa,nina hasira na mambo mengine meengi ya kienyeji..
kama mkeo ama mumeo yuko facebook kuwa makini sana...
Mbona hata hapa jf tunakutana na vimbwanga.
Ni tabia ya mtu tu. Ukijilegeza umekwisha.
Jf vijana wengi damu zao zinachemka. Lol!
Ila formular yangu maishani ni kuwa hakuna mzaha kati ya mtoto wa kiume na wa kike. Watu mnataniana humu mwisho mtafanya kweli. Ukifuatilia threads zangu I always try to sound serious. Msinishambulia lakini hii defense mechanism ina work.
Suala hapa sio huyu shemeji yangu kumegwa...amemegwa akiwa na mimba ya miezi 5!!! na kwa jinsi alivomuambia mume wake alikutana na huyu jamaa FB na akalala nae the whole nite akiwa ameaga anaenda kwao Tanga!!! jamaa yuko njiapanda amuache ama avumilie huu ufuska?!!