Kuweni makini na Halotel, wamekuwa na huduma mbovu kwenye Halopesa

Kuweni makini na Halotel, wamekuwa na huduma mbovu kwenye Halopesa

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Sijui ni kwangu tu leo siku kama ya nne halotel wamekuwa na huduma mbovu kwenye Halopesa.

Naona kuna baadhi ya watu pia wanalalamika, unaweza kufanya muamala au kulipia bill halafu hawaleti msg za muamala na hela inachukuliwa.

Ukipiga hawapokei wanakuweka kinanda hadi simu inajikata.
 
Hao mi siwez kuwapigia hata simu salio tu likiisha wameweka mdada anasauti mbaya knoma
Hili la mdada mwenye sauti mbovu kama anakudai naunga hoja.

Voda nao wameondoa option ya kuangalia salio direct, mpk kwa njia ya msg, nayo hawaleti.

Hii mitandao yetu ni yakishenzi sana.
 
Hao mi siwez kuwapigia hata simu salio tu likiisha wameweka mdada anasauti mbaya knoma
Yule mdada hayupo romantic kabisa yani kwa sauti yake tu akushawishi uweke bando tena😂😂
 
Hawa jamaa ni halotel ni wapuuzi sana, nina mwezi sasa kila nikifanya miamala hawalet messeji ya uthibitisho, inapotokea kutoelewana na mtu uliyemtumia pesa kuthibitisha inakuwa ngumu sana.
 
Mtandao wa hovyo balaa niliwakimbila kilichonipata nikarudi zangu Voda tu, Internet mbovu, huduma kwa wateja mbovu, Huduma za kifedha mbovu ukikosea mwamala kuupata ni jasho au uzulumike tu, ubunifu ziro yaani wapo wapo tu. Yaani timu yao ya marketing haijui kabisa inachofanya.
 
Vodacom wanajitahidi sana..

Lakini hadi muda huu hizi huduma ingebidi ziwe zinatolewa kwa ubora wa kimataifa kabisa..

Hameni huko akili iwakae sawa na wakishindwa wafunge biashara..2021 na bado huduma zinatolewa kama tupo miaka ya 90 ..hovyo sana.
 
Halotel kwenye internet ni baba lao, hayo mengine sijui....
 
Back
Top Bottom