huo ni udhaifu wa kipolisi zaidiKuna njia mpya inatumiwa na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotumiwa pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu waliowaua na kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye tukio. Police wakifika eneo la tukio wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba ya simu yamtumiaji wa hiyo vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko wameathirika na huu udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada ya kutumia ili nawe usipatwe na janga hili.
Taarifu habari hii na marafiki zako.
Hii taarifa nilikuta fb, ilitolewa mapema kbs na kampuni ya tigo, inaonekana tatizo limekuwa criaz so tuwe makini!
Na haiwezekani kumshikilia mtu gerezani kama huna concrete evidence ya kufanya hivyo, kama unaokota vocha katika eneo la tukio na kupata namba ya simu ya mtu aliyetumia vocha hiyo, jambo la kwanza ni kumu-interogate huyo mtu ili kujua alikuwa wapi siku hiyo ya tukio, na kama maelezo yake ni ya kutia shaka then anaweza kuwa first suspect, lakini kama kwa mfano sikuwahi kufika katika hilo eneo wakati huo wa tukio sasa kuna haja gani ya kunishikilia...! Kuna haja ya kuangalia huzi sheria za "anaisaidia Polisi" kwanza zimepitwa na wakati...............huo ni udhaifu wa kipolisi zaidi
ni polisi wanatakiwa wafikirie nje ya box. sasa ni mwizi gani njinga aache vocha iliyotumia , kwani hajui kama hiyo ni footprint
Samahani kwa usumbufu, una miaka mingapi??CDM ndo wametuma vijana kusaka vocha wanazinunua kuna jambo wanapanga mda c mrefu watakutana kurasini watapiga mabia then wataibukia kwny tv!!