Kuweni makini na vocha mnazotumia mnazitupa wapi na je mmeziharibu?

CDM ndo wametuma vijana kusaka vocha wanazinunua kuna jambo wanapanga mda c mrefu watakutana kurasini watapiga mabia then wataibukia kwny tv!!

wewe baba yako bora angekutole bafuni tu.
 
Ushauri wangu tujitahidi kutumia vodafasta,tigo rusha n.k
 

Asante mkuu lakini si hivyo tu minara tunayotumia inaonyesha kila unapokuwa unatumia simu kuwa muda fulani ulikuwa sehemu fulani na kwa muda upi. na si hivyo tu vyocha inapoingizwa inaonyesha iliinigzwa muda gani na niwapi. Na kama polisi wanakamata watuhumiwa kuwa kutumia vyote ni upungufu wa maarifa wa idara hii ina bidi wawe creative zaidi ya kufanya uhanisi wa aina hii
 
ni tahadhari nzuri ambayo inaweza kukuepushia usumbufu mkubwa hasa ukizingatia performance ya vyombo vyetu vya uchunguzi which leaves a lot to be desired
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…