Kuwepo na App nyingi za kukopesha fedha kiuchumi ina ishara gani?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wa Salaamu . Hizi app za kukopesha fedha mitandaoni zimekua nyingi mno.

Kila ukiingia online ni promotion za app hizo.

Kwa wale wataalamu wa kiuchumi hii ni kiashiria gani kimaendeleo?

Je hii ni indicator kwamba uchumi unakua kwa kasi au unaporomoka?

Naombeni msaada wenu ili nitoe tongo tongo zangu.
 
Wale wasenge App moja ila majina tofauti
IMG_20250225_092050.jpg
 
Wa Salaamu . Hizi app za kukopesha fedha mitandaoni zimekua nyingi mno.
Kila ukiingia online ni promotion za app hizo.
Kwa wale wataalamu wa kiuchumi hii ni kiashiria gani kimaendeleo?
Je hii ni indicator kwamba uchumi unakua kwa kasi au unaporomoka?
.Naombeni msaada wenu ili nitoe tongo tongo zangu.
Pakua kopa usilipe
 
Back
Top Bottom