Kuwepo na vikao vya kuvunja ndoa na si kuchangia ndoa tu

Kuwepo na vikao vya kuvunja ndoa na si kuchangia ndoa tu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapendwa habarini za kwenu
naona ni vyema kukumbushana kwa wale walioamua kuja kutest laza ya ndoa na kuona kwao inawashinda si mbaya kama mkikaribisha michango ya kuvunja ndoa zenu pia na si wakati wa Harusi pekee
ni vizuri kama mliwalisha watu wakaenda ****** mara kadhaa pasipo na simila si mbaya mkawakaribisha wakati mnapoamua sasa jamani yametushinda...na mtupe sababu kama livyotupa za kuoana jamani nimepata mchumba sasa nataka nioe awewangu maishani lakini si sikuzote..urudi kutueleza jamani mmh yamenishinda na kamaa choo basi nimeingia cha kike wenye uelewa wataelewa na kupitia vikao tunaweza kuangalia hii ya kuvunja ama tunaweza kuwapatanisha...lakini amtutendei haki michango yetu mnapooana na wakati mnatalikiana tunaitaji mnuso kama wa ndoa yenu


nawatakia HARUFU NJEMA YA NDOA YENYE FARAJA NA MAFANIKIO kwa walwe mnaaooana kesho makanisa yote
 
Back
Top Bottom